VIONGOZI WAKUU WA SASA WA AFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM SMZ


 

Waziri mwenye dhamana ya kuiongoza Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ ni Mhe. MASOUD ALI MOHAMMED.

Katibu mkuu wa Wizara ni Nd. ISSA MAHFOUDH HAJI 

Naibu Katibu mkuu wa Wizara ni Nd. MIKIDADI MBAROUK MZEE

Aidha Katika ngazi ya Idara zinazounda za Makao Makuu uongozi uko kama ifuatavyo:

    • Idara ya uendeshaji na utumishi inaongozwa na  Nd. SILIMA JUMA KHAMIS
    • Idara ya mipango sera na utafiti - NdABDALLA ISSA MGONGO
    • Idara ya uratibu wa tawala za mikoa na serikali za mitaa - Nd. ZAINAB KHAMIS KIBWANA
    • Idara ya uratibu wa Idara Maalum za SMZ - Col. HAJI SHEHA KHAMIS  
    • Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Idara Maalum - Col. MIRAJI M. VUAI (mst)
    • Katibu wa Tume ya Utumishi wa Idara Maalum - SSP. HASSAN HAJI HAJI 
    • Afisa mdhamini Pemba - Nd. THABIT OTHMAN ABDALLA
    • Afisi ya Mrajis wa Jumuiya zisizo za Kiserikali Zanzibar - Nd. AHMED KHALID ABDULLA
    • Mkurugenzi Mtendaji wa Viwanda vya Idara Maalum za SMZ ni - SP RAMADHAN KHAMIS IBRAHIM
    • Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii - Nd. MOHAMED AME MAKAME

Wakuu wa Wilaya uongozi uko kama ifuatavyo:

    • Mkuu wa Wilaya ya Mjini,   -  Mhe. RASHID SIMAI MSARAKA
    • Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” - Mhe. SUZAN PETER KUNAMBI
    • Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” -  Mhe.HAMIDA MUSSA KHAMIS
    • Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A”, - Mhe. SADIFA JUMA KHAMIS 
    • Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B”, - Mhe. HAMID SEIF SAID 
    • Mkuu wa Wilaya ya Kati,   -  Mhe. MARINA JOEL THOMAS
    • Mkuu wa Wilaya ya Micheweni- Mhe. MGENI KHATIB YAHYA
    • Mkuu wa Wilaya ya Wete-  Mhe.HAMAD OMAR BAKARI
    • Mkuu wa Wilaya ya Kusini , - Mhe. RAJAB YUSSUF MKASABA 
    • Mkuu wa Wilaya ya Mkoani pemba, - Mhe. KHATIB JUMA MJAJA 
    • Mkuu wa Wilaya ya Chakechake, - Mhe. ABDALLAH RASHID ALI 

Dira

Kuwa taasisi imara katika kusimamia amani, usalama, usajili wa wakaazi na upatikanaji wa huduma karibu na wananchi

Dhamira

Kujenga mazingira mazuri ya ushiriki wa wananchi katika kudumisha amani, ulinzi wa mali zao, kuimarisha huduma za kijamii, kuhakikisha kuwa jamii inashiriki katika kupanga na kusimamia shughuli za maendeleo katika maeneo yao kwa kuzingatia misingi ya utawala bora ikihusisha kuwatambua wakaazi wa maeneo husika na utambulisho wao.

Wasiliana nasi


Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

2277 Barabara ya Vuga,

S.L.P 4220,

70401 Mjini Magharibi,

Tel: +255242230034

Fax: +255242230034

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Waliotembelea Tovuti

3724014
Today
Yesterday
This Week
This Month
All days
530
441
2269
4859
3724014