OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ YAZINDUA KAMPENI YA KUWARUDISHA WANAFUNZI WA MAANDALIZI NA MSINGI SKULI BAADA YA MRIPUKO WA MARADHI YA CORONA

katibu ufunguzi kamati mjini
 Katibu Mkuu (ORTMSMIM) akihutubia kamati ya Skuli wakati wa Ufunguzi wa Kampeni ya kuwarudisha wanafunzi skuli.  Mjumbe wa kamati Wilaya ya Mjini
   
mkurugenzi kamati mjini mjumbe mjini
Mkurugenzi Mipango Sera (ORTMSMIM) akihutubia Masheha katika Mkutano wa Kampeni ya kuwarudisha watoto Skuli  Mjumbe wa kamati ya skuli akitoa maoni yake katika mkutano
   
sheha dunga muwezeshaji dunga
Sheha wa Shehia Wilaya ya Kati akitoa maoni yake katika mkutano wa kampeni ya kuwarudisha wanafunzi skuli  Muwezeshaji kutoka (ORTMSMIM) akitoa maelezo kwa wana kamati
   
mjumbe kamati muwezeshaji dunga1
Mjumbe wa kamati ya Skuli Wilaya ya Kati akitoa Maelezo katika ghafla ya kampeni ya kuwarudisha watoto Skuli  Muwezeshaji kutoka (ORTMSMIMI) akitoa maelezo.
   
muwezeshaji kamati dunga sheha dunga2
 Muwezeshaji kutoka (ORTMSMIM) akitoa maelezo kwa wana kamati wa skuli  Sheha wa shehia kutoka Wilaya ya Kati akitoa maelezo katika mkutano
kamatikusini mashehaMkwajuni
 Wajumbe wakiwa wanaskiliza maelezo katika Mkutano   Masheha kutoka Wilaya ya Kaskazini 'A' wakiwa katika kikao

 

Wasiliana nasi


Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

2277 Barabara ya Vuga,

S.L.P 4220,

70401 Mjini Magharibi,

Tel: +255242230034

Fax: +255242230034

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Waliotembelea Tovuti

3741758
Today
Yesterday
This Week
This Month
All days
100
170
400
9394
3741758