IDARA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA.
MAJUKUMU YA IDARA
- Kuratibu shughuli zote za mikoa na serikali za mitaa.
- kusimamia sera na sheria katika Mikoa na Serikali za mitaa
- Kusimamia utekelezaji wa Mamlaka zaMikoa na Serikali za mitaa
- kufanya ufatiliaji wa Majukumu ya mamlaka za Serikali za Mitaa.