IDARA YA MIPANGO, SERA NA UTAFITI
UONGOZI
Mkurugenzi katika idara ya mipango sera na utafiti ni ndugu ABDALLAH ISSA MGONGO.
KAZI KUU
- Kuratibu na kusimamia mipango inayoendeshwa na Wizara.
- Kuunda na kuratibu sera na sheria.
- Kupanga, kubuni na kusimamia miradi na programu.
Kuandaa mipango ya kila mwaka, kuweka mikakati na bajeti ya kila mwaka ya Wizara. - Kuratibu shughuli za utafiti wa Wizara na kuandaa ripoti ya utafiti.
- Kukagua, kuimarisha na kuratibu mipango na programu za maendeleo ya wizara.
- Kupitia na kutathmini utekelezaji wa sera, mipango, mipango na mradi ya wizara.
Kuratibu, kufuatilia na kusimamia miradi na programu inayofadhiliwa