OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ YAZINDUA KAMPENI YA KUWARUDISHA WANAFUNZI WA MAANDALIZI NA MSINGI SKULI BAADA YA MRIPUKO WA MARADHI YA CORONA
Katibu Mkuu (ORTMSMIM) akihutubia kamati ya Skuli wakati wa Ufunguzi wa Kampeni ya kuwarudisha wanafunzi skuli. | Mjumbe wa kamati Wilaya ya Mjini |
Mkurugenzi Mipango Sera (ORTMSMIM) akihutubia Masheha katika Mkutano wa Kampeni ya kuwarudisha watoto Skuli | Mjumbe wa kamati ya skuli akitoa maoni yake katika mkutano |
Sheha wa Shehia Wilaya ya Kati akitoa maoni yake katika mkutano wa kampeni ya kuwarudisha wanafunzi skuli | Muwezeshaji kutoka (ORTMSMIM) akitoa maelezo kwa wana kamati |
Mjumbe wa kamati ya Skuli Wilaya ya Kati akitoa Maelezo katika ghafla ya kampeni ya kuwarudisha watoto Skuli | Muwezeshaji kutoka (ORTMSMIMI) akitoa maelezo. |
Muwezeshaji kutoka (ORTMSMIM) akitoa maelezo kwa wana kamati wa skuli | Sheha wa shehia kutoka Wilaya ya Kati akitoa maelezo katika mkutano |
Wajumbe wakiwa wanaskiliza maelezo katika Mkutano | Masheha kutoka Wilaya ya Kaskazini 'A' wakiwa katika kikao |