IDARA YA UTUMISHI NA UENDESHAJI:

UONGOZI
Mkurugenzi wa Utumishi na Uendeshaji ni Ndugu ALI VUAI ALI

KAZI KUU.

  • kushughulikia kazi za kiutawala kila siku katika Wizara
  • Kujua maslahi ya wafanyakazi wa Wizara
  • Kutambua masuala yote ya uendeshaji wa Idara, ikiwa ni pamoja na kusimamia nidhamu ya watumishi.
  • Kutambua utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka za wafanyakazi wote wa Wizara.
  • Kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Wizara

Aidha Idara inasimamia utekelezaji wa kazi za Ofisi ya Wizara na kuhakikisha kuwa rasilimali zote muhimu zinapatikana kwa wakati na wafanyakazi kuendelea kufanya kazi katika mazingira mazuri na ya kuridhisha. Kazi kwa ajili ya ununuzi wa mashine ya ofisi (kompyuta), vifaa vya (stationeries), samani za ofisi, huduma ya malipo ya maji, umeme na mawasiliano ya simu ya ofisi (simu na mtandao). Zaidi ya hayo Idara hii hutoa huduma za usimamizi wa ofisi na kuhakikisha magari yanapata huduma na matengenezo mengine pamoja na kuyapatia mafuta .

Wasiliana Nasi


Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

P.O BOX 4220

Vuga - Zanzibar

Tel: +255242230034

Fax: +255242230034

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Waliotembelea Tovuti

178749
Today
Yesterday
This Week
This Month
All days
1501
944
3031
11615
178749