Naibu Waziri (OR-TMSMIM) Mh. Shamata Shaame Khamis, Akikabidhi mikoba yenye vifaa vya kusomea kwa wanafunzi wa skuli za msingi Zanzibar.   Uzinduzi wa vitambulisho vipya vya mzanzibari mkaazi (smart cards), Uliyofanyika tarehe 29 Oktoba, 2019, katika Ukumbi wa Idrissa Abdulwakil Mjini Zanzibar. Katika Uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi MH. DK. ALI MOH’D SHEIN.
 
 
Makabidhiano ya Skuli ya Msingi ya Mambosasa kati ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Moh’d Sheni amewapandisha vyeo Maafisa watatu wa Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magendo KMKM kuanzia tarehe 03, Septemba 2019 kutoka cheo cha Kamanda nakuwa Kepten.   Ziara ya ukaguzi ya Waziri wa Nchi (OR) TMSMIM-SMZ. Mh. Haji Omar Kheir katika Chinjio la Muwanda ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja. Tarehe 21/08/2019
 
 
Ziara ya ukaguzi ya Waziri wa Nchi (OR) TMSMIM-SMZ. Mh. HAJI OMAR KHEIR. Aliyoifanya Wilaya ya Kati Unguja. Tarehe 20/08/2019   Ziara ya Waziri wa Nchi (OR) TMSMIM-SMZ. Mh. Haji Omar Kheir. Aliyoifanya Wilaya ya Kusini Unguja. Tarehe 19/08/2019   Kilele Cha Sherehe za KMKM zilizofanyika katika kiwanja cha Maisara Mjini Zanzibar tarehe 01 July, 2019. ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ MH. HAJI OMAR KHERI
 
 
Semina elekezi kwa Makatibu Tawala, Makatibu Tawala Wasaidizi, Wakurugenzi na Wakurugenzi wasaidizi wa Serikali za Mitaa   .Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ MH. HAJI OMAR KHERI akizindua rasmi shuhuli za mji salama katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar. 09 April, 2019.    Ghafla ya Makabidhiano ya Majukumu. Watumishi na vituo vya kazi baina ya OR TAMISEMIM ya SMZ na Wizara za kisekta (Afya, Elimu na Mafunzo ya Amali na Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi). tarehe 29 Machi, 2019
   
   
Ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.
Akifungua mafunzo kuhusu mji salama yaliyoendeshwa na wakufunzi kutoka Chuo cha Usafiri wa Anga yaliyofanyika Chuo cha Mafunzo Kilimani. tarehe 25/03/2019
    Ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.
Kutembelea Soko la Darajani pamoja na Jaa la Kibele Zanzibar.
   Ziara ya Raisi wa Zanzibar Mkoa wa Kaskazini A Unguja.
 
 

 

   
  Uzinduzi wa mradi wa kuimarisha Nyumba ya kihistoria ya Mwinyi Mkuu Dunga tarehe 5/01/2020  

Uwekaji wa jiwe la msingi cha Fisheries Range katika kisiwa cha Pungume Wilaya ya kati,Ni miongoni mwa shamrashamra za kuadhimisha miaka 56 ya Mapinduzi ya zanzibar. Yaliofanyika Tarehe04/1/2020

  Uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa madarasa matatu (3) katika maadhimisho ya sherehe za mapinduzi ya Zanzibar katika miaka 56, Skuli ya Maandalizi na msingi Donge Karange. Yaliyofanyika tarehe 01/01/2020
 
   
   
 UFUNGAJI WA MAFUNZO YA AWALI YA MKUPUO WA 3 WA IDARA MAALUM ZA SMZ YALIOFANYIKA MAISARA.06/02/2020   Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa za Idara Maalum za SMZ Mh. Haji Omar Kheri amezinduwa uvunaji wa mpunga katika Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Upenja tarehe 27/05/2020    

 

 

Wasiliana Nasi


Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

P.O BOX 4220

Vuga - Zanzibar

Tel: +255242230034

Fax: +255242230034

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Waliotembelea Tovuti

178746
Today
Yesterday
This Week
This Month
All days
1498
944
3028
11612
178746