VIONGOZI WAKUU WA SASA WA AFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM SMZ


 

Waziri mwenye dhamana ya kuiongoza Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ ni MHE. MASOUD ALI MOHAMMED.

Katibu mkuu wa Wizara ni Mh. ISSA MAHFOUDH HAJI 

Naibu Katibu mkuu wa Wizara ni Nd. MIKIDADI MBAROUK MZEE

Aidha Katika ngazi ya Idara zinazounda za Makao Makuu uongozi uko kama ifuatavyo:

  • Idara ya uendeshaji na utumishi inaongozwa na  Nd. JUMA NYASA JUMA
  • Idara ya mipango sera na utafiti - NdABDALLA ISSA MGONGO
  • Idara ya uratibu wa tawala za mikoa na serikali za mitaa - Dk. HAJI SALIM KHAMIS
  • Wakala wa usajili wa matukio ya kijamii ni Nd. IDRISSA SHAABAN ZAHRAN  
  • Idara ya uratibu wa Idara Maalum -----------  
  • Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Idara Maalum - Col. MIRAJI M. VUAI (mst)
  • Katibu wa Tume ya Utumishi wa Idara Maalum - SSP. HASSAN HAJI HAJI 
  • Afisa mdhamini Pemba - Nd. THABIT OTHMAN ABDALLA
  • Afisi ya Mrajis wa Jumuiya zisizo za Kiserikali Zanzibar - Nd. AHMED KHALID ABDULLA

Wasiliana nasi


Afisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

P.O BOX 4220

Vuga - Zanzibar

Tel: +255242230034

Fax: +255242230034

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Waliotembelea Tovuti

404422
Today
Yesterday
This Week
This Month
All days
405
4101
8596
70396
404422