MAZUNGUMZO NA MASHEHA
Mrajis wa jumuiya zisizo za kiserikali Ahmed Khalid Abdullah, amesema wataendelea kuziunga mkono jumuiya ambazo zinatoa michango ya kimaendeleo na kuwa na maslahi kwa jamii.
GHAFLA YA KUWAAGA WASTAAFU WA OR-TMSEMIM
Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Nd. Mikidadi Mbarouk Mzee akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi wastaafu wa Ofisi yake
MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA SHIRIKA LA DELOITTE
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ mh Masoud Ali Mohammed, amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa Taasisi binafsi zinazojishughulisha kusaidia masuala ya kijamii ikiwemo kupambana na magonjwa ya kuambukiza.
MAFUNZO YA KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mh. Masoud Ali Mohammed amesema mafunzo ya kupambana na kuthidibiti dawa za kulevya yataongeza kasi ya kudhibiti biashara hiyo haramu.
ZIARA YA UJENZI WA OFISI ZA MASHEHA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ, Mh, Masoud Ali Mohammed,amesema ujenzi wa ofisi za masheha katika shehia itawawezesha kuongezeka uwajibikaji na wananchi kuwa huru pindi wanapofata huduma.
MAZUNGUMZO YA MH.WAZIRI NA WATENDAJI WA OFISI KUU VUGA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa ,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ, Mh Masoud Ali Mohammed, amewataka Watumishi kuwa ni mfano mzuri katika kufata misingi na kanuni za kiutumishi.

Hakuna Taarifa kwa sasa...

Wasiliana Nasi


Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

P.O BOX 4220

Vuga - Zanzibar

Tel: +255242230034

Fax: +255242230034

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Waliotembelea Tovuti

003851
Today
Yesterday
This Week
This Month
All days
11
68
848
1780
3851