UTIAJI WA SAINI NA MAKUBALIANO YA JAA LA KIBELE
Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Tawala Za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Ndugu Issa Mahfoudh Haji na Mr Ariff kutoka kampuni ya Envigenic wakitiliana saini ya amkubaliano ya kusafisha jaa kubwa la Kibele