UZINDUZI WA VIWANJA VYA MICHEZO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa ametoa wito kwa Wizara ya Habari Sana Michezo na Utamaduni kutafuta maeneo mengine ya kujenga viwanja vya michezo ili kukuza sekta ya michezo nchini.