ZIARA YA KIKAZI KVZ
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa amefanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Kikosi cha Valantia Mtoni Zanzibar, Ziara hiyo ni muendelezo wa Ziara ya kikazi ya kutembelea Idara maalum za SMZ Kwa upande wa Unguja.