Kuhusu sisi
Historia
Kabla ya Mapinduzi ya Januari 1964, mwananchi walikuwa hawashirikishwi katika maamuzi kuhusu ustawi wa maendeleo yao. Mtiririko wa ngazi za utawala ulikua ni kupokea amri na kusimamia utekelezaji wa amri hizo ambazo huanzia katika ngazi ya juu ya utawala na kuteremshwa hadi ngazi ya chini kwa wananchi na jamii kwa ujumla. Maamuzi ambayo hayapingwi wala kujadiliwa na wananchi wa kawaida ila ni utekelezaji tu.
Zanzibar Kiutawala iligaiwa katika Mikoa mitatu ambapo kisiwa cha Unguja kilikuwa na Mikoa miwil ....
Read More
Dira
Kuwa taasisi imara katika kusimamia amani, usalama, usajili wa wakaazi na upatikanaji wa huduma karibu na wananchiDhamira
Kujenga mazingira mazuri ya ushiriki wa wananchi katika kudumisha amani, ulinzi wa mali zao, kuimarisha huduma za kijamii, kuhakikisha kuwa jamii inashiriki katika kupanga na kusimamia shughuli za maendeleo katika maeneo yao kwa kuzingatia misingi ya utawala bora ikihusisha kuwatambua wakaazi wa maeneo husika na utambulisho wao.HUDUMA ZINAZOTOLEWA
- Kuimarisha uhusiano baina ya taasisi za Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ. Na taasisi nyengine.
- Kuendeleza michezo katika Idara na Taasisi zetu..
- Kufuatilia na kukagua utendaji wa mamlaka za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika utoaji wa huduma..
Read More
Uongozi

IDRISA KITWANA MUSTAFA
MH WAZIRI OR-TAMISEMIMUongozi ni zamana ya muda mfupi tusijisahau tufanye kazi kwa bidii na uaminifu ili kulejenga taifa letu.

ISSA MAHFOUDH HAJI
KATIBU MKUUTufanye kazi

MIKIDADI MBAROUK MZEE
NAIBU KATIBUTufanye kazi kwa hekma tujenge zanzibar yetu