Habari Matukio

ZIARA YA KIKAZI KVZ

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa amefanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Kikosi cha Valantia Mtoni Zanzibar, Ziara hiyo ni muendelezo wa Ziara ya kikazi ya kutembelea Idara


Read More

UZINDUZI WA VIWANJA VYA MICHEZO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa ametoa wito kwa Wizara ya Habari Sana Michezo na Utamaduni kutafuta maeneo mengine ya kujenga viwanja vya michezo ili kukuza sekta ya michezo


Read More

ZIARA YA KIKAZI KMKM

Muendelezo wa Ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa katika Makao Makuu ya Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magendo (KMKM) Zanzibar.


Read More

UZINDUZI WA MICHEZO YA KIJESHI

Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi Azindua Mafunzo ya KIjeshi


Read More