Super User

Super User

UNDP 3 UNDP 4

Mafunzo ya kuwawezesha maafisa Mipango wa ORTMSMIM kutafuta fursa za kuwavutia wawekezaji kuwekeza katika maeneo Yao.

Mafunzo ya kuwawezesha maafisa Mipango wa ORTMSMIM kutafuta fursa za kuwavutia wawekezaji kuwekeza katika maeneo Yao.

UNDP 5 UNDP 6
 Mafunzo ya kuwawezesha maafisa Mipango wa ORTMSMIM kutafuta fursa za kuwavutia wawekezaji kuwekeza katika maeneo Yao.  
maadili 2 maadili 2

Kamati ya kusimamia Afisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi ilipokuwa ikipokea Ripoti ya utekelezaji wa MIradi ya OR-TMSMIM.

.

Kamati ya kusimamia Afisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi ilipokuwa ikipokea Ripoti ya utekelezaji wa MIradi ya OR-TMSMIM.

.
maadili 4 maadili 5
 Kamati ya kusimamia Afisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi ilipokuwa ikipokea Ripoti ya utekelezaji wa MIradi ya OR-TMSMIM.  
Fuoni 1  Fuoni 2
 Ziara ya kutembelea Miradi ya maendeleo katika Shehia ya Fuoni Kipungani na Fuoni Migombani katika Wilaya ya Magharibi B. Ziara ya kutembelea Miradi ya maendeleo katika Shehia ya Fuoni Kipungani na Fuoni Migombani katika Wilaya ya Magharibi B.
Fuoni 3 Fuoni 4
 Ziara ya kutembelea Miradi ya maendeleo katika Shehia ya Fuoni Kipungani na Fuoni Migombani katika Wilaya ya Magharibi B  
zimamoto 0  zimamoto 2
 Maafisa wa kikosi cha Zimamoto na Uokozi waliokabidhiwa dhamana wametakiwa kusimamia nidhamu. Maafisa wa kikosi cha Zimamoto na Uokozi waliokabidhiwa dhamana wametakiwa kusimamia nidhamu.
zimamoto 3 zimamoto 4
 Maafisa wa kikosi cha Zimamoto na Uokozi waliokabidhiwa dhamana wametakiwa kusimamia nidhamu.  
masjala 1  masjala 2
 Mafunzo ya mfumo wa e-office kwa maafisa Tehama, Utumishi na Masjala kwa taasisi za OR-TMSMIM yaliyofanyika vuga. Mafunzo ya mfumo wa e-office kwa maafisa Tehama, Utumishi na Masjala kwa taasisi za OR-TMSMIM yaliyofanyika vuga.
masjala 3 masjala 5
 Mafunzo ya mfumo wa e-office kwa maafisa Tehama, Utumishi na Masjala kwa taasisi za OR-TMSMIM yaliyofanyika vuga  
 99 2  99 6
 Utiaji Saini kwa Makamanda Wakuu wa Vikosi vya SMZ kuhusu ujenzi wa Masoko Mkoa wa Mjini Magharibi.  Utiaji Saini kwa Makamanda Wakuu wa Vikosi vya SMZ kuhusu ujenzi wa Masoko Mkoa wa Mjini Magharibi.
 99 5  99 4
 Utiaji Saini kwa Makamanda Wakuu wa Vikosi vya SMZ kuhusu ujenzi wa Masoko Mkoa wa Mjini Magharibi.  
 89 1  89 2
 Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Idrissa Mustafa Kitwana akimkabidhi kazi Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar - JKUZ (Col. Makame Abdalla Daima)  Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Idrissa Kitwana Mustafa akimkabidhi kazi Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar (Khamis Bakar Khamis)
 89 3  89 4
 Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh.Idrissa Kitwana Mustafa akimkabidhi kazi Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar - KZU (Rashid Mzee Abdallah)  

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Masoud Ali Mohammed Akizungumza na Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad alipokwenda kujitambulisha Ofisini kwake Vuga.

Mhe. Masoud amesema suala la ulinzi wa raia na mali zao ni jambo muhimu ambalo litawaongezea imani wananchi kutoa ushirikano kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuweza kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Nae Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar amependekeza kuandaliwa kwa mafunzo ya pamoja kati ya Jeshi la Polisi na Vikosi vya Idara Maalum ili kuwajengea uwezo wa kiutendaji wapiganaji hao. Kamishna Hamad Khamis Hamad amefika Ofisini hapo ujitambulisha baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni

Kwahabari zaidi usiache kutembelea Youtube Channel yetu OR-TMSMIM ZANZIBAR na kusubscribe

 kms1  kms5
 kms4  kms3
 wz1  wz2
 Waziri OR-TMSMIM Mh. Masoud Ali Mohammed, akifungua kikao cha ushirikiano kati ya Wajumbe wa Jumuiya za Serikali za Mitaa Tanzania na Wajumbe wa Serikali za Mitaa Zanzibar Ofisini kwake Vuga.  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania Nd. Murshid Ngeze akizugumza katika kikao cha ushirikiano kati ya Meya na Wakurugenzi wa Manispaa za Zanzibar na Wajumbe wa Serikali za Mitaa Tanzania.
 wz3  wz4
 Waziri OR-TMSMIM Mh. Masoud Ali Mohammed, akifungua kikao cha ushirikiano kati ya Wajumbe wa Jumuiya za Serikali za Mitaa Tanzania na Wajumbe wa Serikali za Mitaa Zanzibar Ofisini kwake Vuga.  
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mh Masoud Ali Mohammed, amesema usimamizi mzuri katika ujenzi wa makaazi ya askari wa kikosi cha Valantia, utawezesha nyumba hizo kuwa katika kiwango cha ubora.
 
Akitembelea kazi za ujenzi katika kambi nne za KVZ, ameelezea kuridhishwa na Kasi ya ujenzi inavyoendelea Kwa kuwatumia mafundi wa kikosi hicho, Jambo ambalo linaonesha uzalendo na litapunguza gharama za matumizi ya fedha.
Hivyo ameutaka uongozi wa Kikosi hicho kuzidisha ushirikiano na wazabuni ili kuweza kufanikisha vyema miradi hiyo.
 
Nae Mkuu wa Kikosi cha Valantia KVZ, Luteni Kanal Said Ali Shamuhuna, amesema hadi sasa vifaa vya ujenzi vipo vya kutosha na anatarajia ujenzi huo utamalizika kwa wakati uliopangwa na utakuwa na ubora wa kiwango kinachotakiwa.
 
 Ujenzi huo unaoendelea katika kambi ya Muyuni, Kikungwi, Mto wa maji na kambi Mwanyanya, umejumuisha nyumba za kulala askari, nyumba za Wakuu wa zoni pamoja na Ofisi.

BOFYA HAPA KUPATA TAARIFA KWA NJIA YA VIDEO.

 zkvz2  zkvz3
 zkvz4  zkvz5
Page 2 of 3

Wasiliana nasi


Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

2277 Barabara ya Vuga,

S.L.P 4220,

70401 Mjini Magharibi,

Tel: +255242230034

Fax: +255242230034

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Waliotembelea Tovuti

3713637
Today
Yesterday
This Week
This Month
All days
212
984
6920
16994
3713637