Makabidhiano ya Skuli ya Msingi ya Mambosasa kati ya Wizara ya Nchi - Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
24 Oct 2019

Makabidhiano ya Skuli ya Msingi ya Mambosasa kati ya Wizara ya Nchi - Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar

Kushoto  ni  Naibu Katibu Mkuu kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Nd. KHALID ABDALLAH OMAR na kulia ni Katibu mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Nd. Idrisa Muslihi Hija. Makabidhiano hayo yaliyofanyika tarehe 23/09/2019. Katika ukumbi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zannzibar. Bofya hapa kupata video..

mkb2

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh: Haji Omar Kheri wakiwa pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh: Riziki Pembe Juma katika kikao cha makabiziano ya Skuli ya Fuoni Mambosasa kilichofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.

mkb3

 Waziri wa Nchi - Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh: Haji Omar Kheri kushoto akizungumza katika kikao cha makabidhiano ya Skuli ya Msingi Mambosasa, na kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh: Riziki Pembe Juma.

mkb4

Wakitiliana saini katika makabidhiano ya skuli ya msingi ya Mambosasa kushoto ni Naibu Katibu Mkuu kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Nd: Khalid Abdallah Omar na kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Nd : Idrisa Muslihi  Hija.

Last modified on Thursday, 24 October 2019 08:25

Wasiliana Nasi


Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

P.O BOX 4220

Vuga - Zanzibar

Tel: +255242230034

Fax: +255242230034

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Waliotembelea Tovuti

178666
Today
Yesterday
This Week
This Month
All days
1418
944
2948
11532
178666